Wednesday, December 19, 2012


NAFASI ZA KAZI

DEREVA - NAFASI MOJA

►Awe amehitimu mafunzo ya udereva katika chuo cha serikali

Awe na uzoefu wa miaka 10 katika kazi ya udereva akiwa amefanya katika mashirika mbalimbali, yakiwemo ya umma.

► Awe na leseni ya Daraja C katika kipindi hicho cha miaka 10

►Awe na rekodi nzuri ya usalama barabarani

►Muadilifu, mwaminifu na anayefanya kazi kwa kujituma

►Umri ni miaka 30 hadi 45

► Mshahara mnono.


KATIBU MUHTASI (SECRETARY) - NAFASI MOJA

Awe amehitimu mafunzo ya ukatibu muhtasi

Awe na uzoefu usiopungua miaka minne katika kazi hiyo

Awe tayari kufanya kazi na kutekeleza kazi kwa wakati

Muadilifu, mwaminifu na anayefanya kazi kwa kujituma

Elimu kuanzia Kidato cha IV

► Awe na uwelewa wa kutosha wa Stadi za Kompyuta (Computer Skills)

Umri kuanzia miaka 24 hadi 35

Mshahara mzuri.

► Kituo cha kazi kitakuwa Iringa mjini.


Maombi yote yaandikwe kwa: Naibu Mhariri Mtendaji, Daraja Development Limited (Iringa Office), yakiambatanishwa na vivuli (photocopy) vya vyeti, wasifu (CV) na barua mbili za wadhamini, pamoja na moja ya Ofisa Mtendaji wa Mtaa, yawasilishwe katika Ofisi za Daraja, Jengo la NSSF (Akiba), Chumba Namba 309, mjini Iringa kabla ya tarehe 26/12/2012.

Simu: 0655-220404
Reactions:

0 comments:

Post a Comment